Pages

Wednesday, June 8, 2016

Tiger Woods nje ya US Open

Image copyrightPRESS ASSOCIATION
Image captionTiger Woods
Aliyekuwa mcheza Golf nambari moja duniani Tiger Woods anasema hatakuwa tayari kimwili kucheza katika michuano ya US Open inayoanza wiki ijayo.
Woods mwenye miaka 40 ameshafanya upasuaji mara tatu wa kuukarabati mgongo wake na mara ya mwisho kushiriki mapambano makali ilikuwa mwezi August mwaka jana 2015 lakini mwezi huu kwenye tarehe 16 huenda akawa na mchezo

No comments:

Post a Comment