Nesi wa kitengo cha Damu salama cha hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma akimchoma sindano mmoja wa wanafunzi wa UDOM kwa ajili ya kuchangia Damu, kabla ya mahafali ya wanafunzi hao ambayo hata hivyo yalivunjwa na polisi.

Polisi wakiingia katika eneo la ukumbi wa African Dreams Mjini Dodoma kwa ajili ya kuzuia mahafari ya wanafunzi wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya mkoani humo, yaliyodaiwa kufanyika bila kibali.

Polisi akimfafanulia jambo Naibu Katibu MKkuu wa Chadema Zanzibar Salum Mwalimu kabla ya kuvunja mahafari ya wanafunzi wa umoja wa vyuo vikuu Dodoma.
Naibu Katibu M kuu wa Chadema Zanzibar Salum Mwalimu akilalamika jambo wakati akiongea na polisi walifika kuzua mahafali ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma wanaotokana na Chadema ambapo hata hivyo mahafali hayo yalivunjwa na polisi hao.
Salumu Mwalimu akiongea na Ofsa wa Polisi aliyekuwa akimtaka kuwaambambia wanafunzi wa vyuo vikuu waliokuwa kwenye mahafali kutawanyika katika ukumbi wa African Dreams mjini Dodoma.
Polisi wa Kutuliza Ghasia wakiwa wamejipanga wakati walipowataka wanafunzi wa umoja wa vyuo vikuu vya Dodoma ambao ni wanachama wa Chadema kuondoka katika ukumbi wa Mahafali.
Polisi wa Kutuliza Ghasia wakiwa katika eneo la ukumbi wa Mahafali hayo.
Magari ya polisi likiwemo la maji ya washawasha yakiondoka katika ukumbi wa African Dreams Baada ya wanafunzi wa umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu vilivyopo Dodoma kuondoka bila kufanya mahafali kwa amri ya jeshi hilo.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa ya Chadema Fredrick Sumaye akizungumza jambo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari katika ukumbi wa Dodoma Haotel mara baada ya mahafali ya wanafunzi hao kuzuiliwa kufanya mahafali ambayo yeye alikuwa mgeni rasmi. (Picha zote na John Banda)

No comments:
Post a Comment