Mashabiki wakiwa wamefurika kushuhudia mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Tp Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo Juni 28,2016. (Picha zote na Raymond Mushumbusi-WHUSM)
Mashabiki wakiwa kwenye majukwa kwa ajili ya kushuhudia mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Tp Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo Juni 28,2016. Hali ya majukwaa yalivyojaa mashabiki kawa ajili ya kushuhudia mpambano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Tp Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo Juni 28,2016.
Mashabiki wafurika kushuhudia mpambano wa kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Tp Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo Juni 28,2016.
No comments:
Post a Comment