Mashabiki wakifuatilia mpira kati ya timu yao ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) dhidi ya Farao watoto ya Misri, Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo. Serengeti Boys imeshinda mabao 2-1. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mashabiki wakiishangilia timu yao ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) ilipokuwa ikicheza dhidi ya timu ya Taifa ya vijana ya Misri (Farao watoto), Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.
Shaaban Zubeir wa Serengeti Boys akimtoka Hanada Farok wa Farao ya Misri.
Hadi kumalizika kipindi cha kwanza Serengeti Boys ilikuwa ikiongoza kwa bao 1-0 kama inavyoonekana kwenye ubao wa matangazo.
Maziku Aman wa Serengeti Boys akiudhibiti mpira huku akizongwa na Diaa Wahed wa Farao.
Maziku Aman wa Serengeti Boys akiudhibiti mpira huku akizongwa na Diaa Wahed wa Farao.
Maziku Aman wa Serengeti Boys akiudhibiti mpira huku akizongwa na Diaa Wahed wa Farao.
Asad Juma wa Serengeti Boys akikimbilia mpira na Hazem Farghaly wa Farao.
Asad Juma wa Serengeti Boys akiudhibiti mpira huku akizongwa na Hazem Farghaly wa Farao.
Asad Juma wa Serengeti Boys akiudhibiti mpira huku akizongwa na Hazem Farghaly wa Farao.
Asad Juma wa Serengeti Boys akiwa amedondoshwa na Hazem Farghaly wa Farao.
Maziku Aman wa Serengeti Boys akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Hanada Farok wa Farao.
Hanada Farok wa Farao akijaribu kumdhibiti Maziku Aman wa Serengeti Boys.
Maziku Aman wa Serengeti Boys akitoka kwenye kikwazo kilichowekwa na Hanada Farok wa Farao.
Maziku Aman wa Serengeti Boys akimtoka Hanada Farok wa Farao (3) huku akifuatwa na Mohamed Hossam.
Maziku Aman wa Serengeti Boys akijaribu kumpiga chenga Mohamed Hossam.
Moja ya vikundi vya ushangiliaji wakishangilia timu yao ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys), ilipokuwa ikimenyana na Farao watoto ya Misri, Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.
Mashabiki wakifuatilia wakati wa mchezo huo, ambao Serengeti Boys imeshinda mabao 2-1 dhidi ya Farao watoto ya Misri, Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment