Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na wasambazaji
wa filamu na muziki nchini wakati wa mkutano kati yake na wasambazaji hao
uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya wasanii,
wasambazaji na uchumi wa Taifa.(Picha Na
Benjamin Sawe- WHUSM)
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na wasambazaji
wa filamu na muziki nchini wakati wa mkutano kati yake na wasambazaji hao
uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya wasanii,
wasambazaji na uchumi wa Taifa, katikati
ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fissoo.
Baadhi
ya wasambazaji wa filamu na miziki nchini wakitoa mchango wao wa jinsi ya namna
gani ya kuboresha tasnia ya filamu na muziki wakati wa mkutano na Mh. Nape
Nnauye hayupo pichani kwa faida ya uchumi wa wasanii, wasambazaji na Taifa kwa
ujumla.

wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akikagua ubora wa moja
ya kazi zinazosambazwa na moja ya kampuni ya usambazaji nchini wakati wa
mkutano kati yake na wasambazaji hao uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia
hiyo kwa manufaa ya wasanii, wasambazaji na uchumi wa Taifa.kushoto kwake ni
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fissoo.
Katibu
Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fissoo akimuonyesha Mh. Waziri moja
ya vielelezo vinavyotumika kupanga madaraja ya filamu mbalimbali kutokana na
ubora wa filamu husika wakati wa mkutano
kati Wizara na wasambazaji hao uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia hiyo
kwa manufaa ya wasanii, wasambazaji na uchumi wa Taifa.

No comments:
Post a Comment