Katika kumuenzi na kukumbuka urafiki wake wa kipekee, Kamati ya Maandalizi ya Dar es Salaam inawaalika na kuwakaribisha katika kusanyiko la kumuenzi jioni ya tarehe 30 April 2016 kuanzia saa 11 jioni pale Triple 7 (@777).
Kusanyiko hili ni mahsusi kwa mambo mawili makubwa, moja likiwa ni kukumbuka na kuenzi maisha yake katikati yetu na pili kupashana habari za kuhitimisha maandalizi ya Safari ya kumuweka katika nyumba yake ya Milele.
Naomba tujumuike wote na tunaamini hata huko aliko atafurahi tunapomkumbuka.
Bwana ametoa na Bwana Ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe
Imetolewa na Dr. George Longopa
KNY Kamati ya Maandalizi ya Dar ES SALAAM
Simu 0754 870969
KNY Kamati ya Maandalizi ya Dar ES SALAAM
Simu 0754 870969


No comments:
Post a Comment