Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta (kulia) akizungumza wakati wa kutangaza washindi wawili wa droo ya kwanza wa Promosheni ya kujishindia safari ya kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu ambao leo wamepata zawadi Pembeni kwake Ni afisa mawasiliano wa Azam Media , Irada Mtonga .Promosheni hiyo ya ushirikiano wa Tigo Pesa na Azam TV, itaisha Machi 13 na washindi wawili watakwenda Hispania.
|
No comments:
Post a Comment