Mapenzi ya jinsia moja
Vitendo vya wapenzi wa jinsia moja ni haramu nchini Botswana.
Uamuzi huo umepongezwa na baadhi ya raia katika mtandao wa Twitter
Mahakama ya juu nchini Botswana imekataa jaribio la serikali kuvunjilia mbali kundi la wanaharakati wa wapenzi wa jinsia moja katika ushindi usio wa kawaida kwa wanaopigania haki za watu hao barani Afrika.
''Ni wazi kwamba uamuzi wa serikali wa kutaka marufuku hiyo itekelezwe inaingilia haki za mlalamishi kubuni muungano wa kutetea haki zake ili kukuza maslahi,''jaji Ian Kirby alisema.Vitendo vya wapenzi wa jinsia moja ni haramu nchini Botswana.
Uamuzi huo umepongezwa na baadhi ya raia katika mtandao wa Twitter

No comments:
Post a Comment