Wajumbe wa
Kamati ya Bunge, Maliasili, Ardhi na Utalii wakiingia kwenye hifadhi ya
Taifa ya Saadani jana.
|
Naibu Waziri wa
Maliasili na Utalii, Injia Ramo Makani akizungumza wakati wa ziara hiyo.
|
Kaimu Mkurugenzi
wa (TANAPA),Ibrahim Mussa akizungumza wakati za ziara ya kamati ya Bunge
Maliasili,Utalii na Ardhi Mazingira ilipotembelea hifadhi ya Taifa ya
Saadani.
|
Katibu Mkuu wa
Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Meja Jenerali Gaudance
Milanzi akizungumza wakati za ziara ya siku moja ya Kamati ya Bunge ya
Maliasili, Utalii na Ardhi.
|
Kaimu Mkurugenzi wa Uhifadhi wa Tanapa,Mtango Mtaniko akizungumza wakati wa ziara ya kamati ya Bunge Maliasili,Utalii na Ardhi walipofanya ziara ya kutembelea hifadhi ya Taifa ya Saadani.
Mjumbe wa
Kamati ya Bunge Maliasili, Utalii, Ardhi na Mazingira, Pauline Gekule
akiulizwa swali wakati ziara hiyo.
|
Mjumbe wa Kamati
ya Bunge, Maliasili, Ardhi na Utalii,Shabani Shekilindi ambaye pia ni
Mbunge wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga akiuliza swali wakati wa ziara
hiyo.
|
Mbunge wa Jimbo
la Korogwe Mjini,Marry Chatanda ambaye pia ni mjumbe wa kamati
hiyo akichangia hoja kwenye ziara hiyo.
|
No comments:
Post a Comment