TANGAZO


Wednesday, March 2, 2016

Serikali yaahidi kuwapatia vijana mitaji kwa ajili ya kilimo cha kisasa


Mkurugenzi Maendeleo ya Vijana Taifa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, James Kajugusi (katikati) akipata ufafanuzi juu ya kilimo cha mbogamboga toka kwa Mwenyekiti Kinondoni Saccoss Neema Urio (Kulia) katika ufunguzi mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vijana kulia mwa Mkurugenzi Maendeleo ya Vijana ni Mkurugenzi Msaidizi Mafunzo Idara ya Vijana Venerose Mtenga na kushoto ni Mkurugenzi Uhamasishaji Idara ya Vijana Esther Riwa.

Mkurugenzi Maendeleo ya Vijana Taifa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, James Kajugusi (katikati) akipata ufafanuzi juu ya matumizi ya jiko linalotumia nishati ya jua toka kwa Meneja wa Tanzania Agriculture Productivity Programme Calvin Peter Ndumwa (Kulia) katika ufunguzi mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vijana kushoto ni Mkurugenzi Uhamasishaji Idara ya Vijana Esther Riwa.

Mkurugenzi Msaidizi Mafunzo Idara ya Vijana Venerose Mtenga akiongea na washiriki wa mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vijana kushoto ni  Mkurugenzi Maendeleo ya Vijana Taifa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu James Kajugusi.

No comments:

Post a Comment