Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimpa pole Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kwa kufiwa
na kaka yake, Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi kijijini
Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016.
Mama Janeth Magufuli, mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Rais Mstaafu Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete kwa kufiwa na kaka yake, Mzee Selemani Mrisho Kikwete,
wakati wa mazishi kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa
Pwani leo Machi 5, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimfariji Mjane wa Marehemu Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa
mazishi kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo
Machi 5, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimfariji Mjane wa Marehemu
Mzee Selemani Mrisho Kikwete na wanafamilia, wakati wa mazishi kijijini
Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli, mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
pamoja na Mama Salma Kikwete wakiwa msibani kwa kaka yake Rais Mstaafu
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, MarehemuMzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati
wa mazishi kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo
Machi 5, 2016. Wengine kutoka kushoto ni Mama Asha Bilali, Mama Khadija
Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi, Mama Asha Seif Ali Iddi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akipokea hela ya utani toka kwa Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani
Kikwete wakati wa mazishi ya Baba yake Mkubwa Mzee Selemani Mrisho
Kikwete, kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo
Machi 5, 2016 wanaoshuhudia ni Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein,
Rais wastaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mhe. Benjamin Mkapa, Alhaj Ally
Hassan Mwinyi na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe John Malecela. Katika
utamaduni wa Kitanzania Wakwere na Wasukuma ni watani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimkabidhi hela ya utani kwa mkaazi wa Chalinze ambaye ni
Muskumu Bwana Luhende baada ya kuipokea toka kwa Mbunge wa Chalinze Mhe
Ridhiwani Kikwete wakati wa mazishi ya Baba yake Mkubwa Mzee Selemani
Mrisho Kikwete, kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa
Pwani leo Machi 5, 2016 wanaoshuhudia ni Rais wa Zanzibar Dkt Ali
Mohamed Shein, Rais wastaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mhe. Benjamin
Mkapa, Alhaj Ally Hassan Mwinyi na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe John
Malecela. Katika utamaduni wa Kitanzania Wakwere na Wasukuma ni watani.
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati
wa mazishi ya kaka yake, Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi
kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5,
2016.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinayang Bw. Khamis Mgeja akiongea
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli na Rais MStaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa Mazishi ya
Marehemu Mzee Selemani Mrisho Kikwete, kijijini Msoga, Chalinze,
wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016. (Picha zote na Ikulu)
No comments:
Post a Comment