Ujumbe kutoka Radio
France International (RFI), wakifurahia jambo wakati wa kikao na Naibu Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (hayupo pichani).
Mkurugenzi wa Radio France Internationale (RFI), Bi. Cecile Megie (kushoto), akizungumza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura kuhusu msaada ambao wameipa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), ili kusaidia katika kufikisha matangazo yake mbali zaidi.
Naibu Waziri waHabari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Radio France Internationale (RFI, Bi. Cecile Megie ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri waHabari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (kulia) akimpa zawadi ya kahawa kutoka Tanzania Mkurugenziwa Radio France Internationale (RFI), Bi. Cecile Megie (kushoto) baada ya mazungumzo mafupi ofisini kwa Naibu Waziri huyo kuhusu kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizi mbili katika masuala ya Habari kati ya TBC na RFI.






No comments:
Post a Comment