Naibu Waziri wa
Utalii na Maliasili Mhandisi Ramo Makani akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii. Kamati
hiyo ilikutana na TANAPA katika Hifadhi ya Saadani. Pages
▼
Thursday, March 31, 2016
KAMATI YA MALIASILI YATEMBELEA HIFADHI YA SAADANI PAMOJA NA KUKUTANA NA TANAPA
Mwenyekiti wa
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe Atashasta Nditiye akizungumza na Menejimenti ya TANAPA
wakati kamati hiyo iliopotembelea Hifadhi ya Saadani. Kulia kwake ni Naibu
Waziri wa Utalii na Maliasili Mhandisi Ramo Makani. (Picha zote na Ofisi ya Bunge)
Mkurugenzi
wa Masoko na Utalii wa TANAPA Bw. Ibrahim Musa akitoa ufafanuzi wa masuala
mbalimbali wakati akizungumza na Wajumbe wa Kamati
ya Ardhi, Maliasili na Utalii. Kamati hiyo ilikutana na TANAPA katika Hifadhi
ya Saadani.
Naibu Waziri wa
Utalii na Maliasili Mhandisi Ramo Makani akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii. Kamati
hiyo ilikutana na TANAPA katika Hifadhi ya Saadani.
Naibu Waziri wa
Utalii na Maliasili Mhandisi Ramo Makani akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii. Kamati
hiyo ilikutana na TANAPA katika Hifadhi ya Saadani.

No comments:
Post a Comment