TANGAZO


Saturday, February 20, 2016

Simba ilipokubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Yanga Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Wachezaji wa Simba na Yanga wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati yao, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wachezaji wa Simba na Yanga wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati yao, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Kikosi cha wachezaji wa Simba waliojitupa uwanjani kukabiliana na Yanga wakipiga picha ya kumbukumbu kabla ya mchezo kati yao Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo.
Kikosi cha wachezaji wa Yanga waliojitupa uwanjani kukabiliana na Simba wakipiga picha ya kumbukumbu kabla ya mchezo kati yao Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo.
Manahodha wa Simba na Yanga wakipiga kura kuchagua goli la kuanzia.
Manahodha wa Simba na Yanga wakipiga picha ya pamoja na waamuzi na Kamisaa wa mchezo huo kabla ya kuanza.
Benchi la Ufundi la Simba likiongozwa na kocha mkuu wake, Jackson Mayanja (wa pili kulia), kabla ya mchezo huo.
Benchi la Ufundi la Yanga likiongozwa na kocha mkuu wake, Hans Plujm (wa kwanza kushoto) kabla ya mchezo huo.
Mashabiki wa Simba wakifuatilia kunza kwa mchezo huo.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia kuanza kwa mchezo huo.
Wachezaji wa Yanga na Simba wakikianza kipute hicho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Ubao wa matokeo ukionesha Yanga 0 na Simba 0.
Hamis Kiiza wa Simba (kulia), akiruka juu Vicent Bossou wa Yanga.
Mohamed Hussein wa Simba akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Juma Abdul wa Yanga.
Mohamed Hussein wa Simba akijaribu kuudhibiti mpira huku akifuatwa na Juma Abdul wa Yanga.


Thaban Kamusoko wa Yanga akiudhibiti mpira.
Ibrahim Ajib wa Simba akijaribu kuwatoka Thaban Kamusoko na Vicent Bossou wa Yanga.
Hamis Kiiza wa Simba akituliza mpira kwa kichwa huku akifuatwa na Vicent Bossou wa Yanga.
Hamis Kiiza wa Simba na Vicent Bossou wa Yanga wakiwania mpira  wa juu.
Ubao ukionesha Yanga bao 1 na Simba 0.
Hamis Kiiza wa Simba akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Vicent Bossou wa Yanga.
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo dhidi ya Yanga.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Uwanja wa Taifa upande wa majukwa ya Simba uwanja ukiwa ujaza mashabiki waliokuwa wakifuatilia mchezo huo.
Ibrahim Ajib wa Simba akiudhibiti mpira huku akizongwa na Vicent Bossou wa Yanga.
Ibrahim Ajib wa Simba akimtoka Mwinyi Haji wa Yanga. 
Mashabiki wa Yanga wakishangilia bao la pili la timu hiyo dhidi ya Simba lililofungwa na Amis Tambwe.
Ubao wa matangazo ukionesha Yanga mabao 2 Simba 0.
Danny Lyanga wa Simba akiudhibiti mpira huku Mwinyi Haji akijaribu kumnyang'anya mpira huo.
Danny Lyanga wa Simba akimtoka Mwinyi Haji wa Yanga.
Danny Lyanga wa Simba akimtoka Mwinyi Haji wa Yanga.

Danny Lyanga wa Simba akimtoka Mwinyi Haji wa Yanga.



Danny Lyanga wa Simba kimruka Vicent Bossou wa Yanga.
Danny Lyanga wa Simba kimruka Vicent Bossou wa Yanga.
Ubao wa matokeo ukionesha Yanga 2 Simba 0.

Mashabiki wa Simba wakitoka uwanjani baada ya timu yao kufungwa mabao 2-0 na Yanga katika mchezo huo.

No comments:

Post a Comment