TANGAZO


Thursday, February 11, 2016

Rais Dk. Magufuli apongezwa kwa utendaji wake

Kijana wa Kitanzania Joseph Stanford ambaye ametembea kwa miguu kutoka Mwanza hadi jijini Dar es salaam akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu nia yake ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kazi yake nzuri kwa wananchi. 
Kijana wa Kitanzania Joseph Stanford ambaye ametembea kwa miguu kutoka Mwanza hadi jijini Dar es Salaam akiwaonyesha waandishi wa habari hawapo pichani mahali alipoanzia kutembea kwa mguu kwa ajili ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kazi yake nzuri kwa wananchi. (Picha zote na Ally Daud- Maelezo)

No comments:

Post a Comment