TANGAZO


Thursday, February 18, 2016

Ofisi ya Rais-Utumishi yasisitiza uzingatiaji wa maadili kwa watumishi wa umma

Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathew Kirama (kushoto) akimsikiliza mwandaaji wa kipindi cha rushwa ni adui wa haki kinachorushwa na TBC Taifa Bi.Miriam Chisoro (kulia) wakati wakijadili mada ya umuhimu wa maadili katika utumishi wa umma ofisini kwa mkurugenzi huyo mapema leo. 
Mwandaaji wa kipindi cha rushwa ni adui wa haki kinachorushwa na TBC Taifa Bi.Miriam Chisoro (kulia) akimuuliza swali Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathew Kirama (katikati) wakati wakijadili umuhimu wa maadili katika utumishi wa umma ofisini kwa mkurugenzi huyo mapema leo. 
Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathew Kirama (kushoto) akisisitiza uzingatiaji wa Kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma wakati wakijadili mada ya umuhimu wa maadili katika utumishi wa umma na mwandaaji wa kipindi cha rushwa ni adui wa haki kinachorushwa na TBC Taifa Bi.Miriam Chisoro ofisini kwa mkurugenzi huyo mapema leo.
Mwandaaji wa kipindi cha rushwa ni adui wa haki kinachorushwa na TBC Taifa Bi. Miriam Chisoro (kulia) akifungua mjadala wa mada ya umuhimu wa maadili katika utumishi wa umma alioufanya na Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathew Kirama ofisini kwa mkurugenzi huyo mapema leo.

No comments:

Post a Comment