TANGAZO

Thursday, February 11, 2016

Naibu Waziri akishiriki ibada ya maombi kwa wagonjwa

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia), akiwa ambeba mtoto mchanga aliyezaliwa katika Hospitali ya Ndala, wilayani Nzega mkoani Tabora mara kushiriki ibada maalum ya maadhimisho ya   24 ya kuwaombea wagonjwa duniani ambayo kitaifa yamefanyika leo mkoani humo,kwenye kanisa la katoliki la Jimbo Kuu la Tabora  katika wilaya hiyo. Aliyekaa ni mama wa mtoto huyo Lucia Revocatus kwenye wodi ya wazazi.. 
Baadhi ya Mapadre wakiwa katika ibada maalum ya  maadhimisho ya  24 ya kuwaombea wagonjwa duniani ambayo kitaifa yamefanyika leo mkoani humo, katika wilaya hiyo.
Naibu Askofu wa Jimbo Kuu la Kanisa la Katoliki la Tabora, Faustine Rwechungura .akiwaombea wagonjwa katika hospitali ya Ndala, Nzega Tabora kwenye wodi ya wazazi. (Picha na Magreth Kinabo-MAELEZO)

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila akitoa zawadi kwa mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Ndala, wilayani Nzega mkoani Tabora mara kushiriki ibada maalum maadhimisho ya   24 ya kuwaombea wagonjwa duniani ambayo kitaifa yamefanyika leo mkoani humo, katika wilaya hiyo.  

No comments:

Post a Comment