
Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani Wilayani Masasi yaendelea Kuboreshwa kwa kufanyiwa Usafi wa Hali yajuu.
Leo hii Baada ya Kamera ya Lindiyetu.com kupita majira ya asubuhi ilikuta eneo hilo ambalo hapo jana lilikuwa limetapakaa Uchafu wa Kila aina likiwa Safi Kabisa.
Hii inaonesha kabisa Mkurugenzi wa halmashauri ya Mji wa Masasi amedhamiria kuepuka aibu ambayo ilikuwa inakuja siku za usoni kwani eneo hilo lipo katikati ya Mji huo hivyo kuonekana kirahisi na Kuleta Picha mbaya.
No comments:
Post a Comment