Naibu Waziri, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Masuala ya Walemavu, Mhe. Dkt. Abdallah Possi akiongea na Wajumbe
wa Kikao cha Tathmini ya Utendaji kazi wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Kazi wakati
wa Ufunguzi wa Kikao hicho leo katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment