Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye (kushoto) akiongea na
Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad wakati wa Kikao
kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika kikao hicho Norway iliahidi kuendelea
kudumisha ushirikiano na Tanzania katika sekta ya utamaduni, Sanaa na Michezo.(Picha zote na Benjamin Sawe-WHUSM).
Mmoja
wa Maofisa kutoka Ubalozi wa Norway nchini Tanzania (kushoto) akiongea na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mh. Nape Nnauye wakati wawa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika
kikao hicho Norway iliahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na Tanzania katika
sekta ya utamaduni, Sanaa na Michezo.
Balozi
wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad kulia akiongea na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mh. Nape Nnauye (kushoto) wakati wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika
kikao hicho Norway iliahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na Tanzania katika
sekta ya utamaduni, Sanaa na Michezo.




No comments:
Post a Comment