![]() |
Timu ya Ushrika wakijandaa kuvuta kamba katika bonanza la kumbukumbu ya Mwenyekiti wa kwanza wa klabu ya Moshi veterani Marehemu Madesho Moye.
|
![]() |
Timu za Maveterani wa KIA na Kitambi noma ya Arusha wakioneshana kazi katika kuvuta kamba.
|
![]() |
Mashindano ya Mbio za mita 100 pia zilikuwa kivutio hapa, Salvatory Mtanange akionesha uwezo wa kukimbia mita 100 ambapo alifanikiwa kushinda.
|
![]() |
Mwamuzi maarufu wa mchezo wa kukimbiza kuku nchini akiingia uwanjani kwa ajili ya mchezo huo.
|
![]() |
Kikosi cha timu ya Ushirika Veterani.
|
![]() |
Kikosi cha wachezaji wa timu ya Kitambi noma.
|
![]() |
Amosi Makala akijaribu kutaka kupita walinzi wa timu ya Ushirika Veterani.
|
![]() |
Amosi Makala akijiandaa kupiga mpira wa adhabu.
|
![]() |
Baadhi ya Mashabiki wa timu mbalimbali za maveterani zilizoshiriki Bonanza la kumbukumbu ya Mwanzilishi wa klabu ya Moshi Veterani,Marehemu Madesho Moye.
|
![]() |
Mshambiliaji wa klabu ya Ushirika Veterani Tumaini Masue akijaribu kutafuta njia za kutaka kumpita mlinzi wa timu ya Kitambi noma.
|
![]() |
Masue akijaribu kuzuia mara baada ya kushindwa kupita.
|
![]() |
Mke wa Marehemu Madesho, Shufaa Madesho alikuwepo uwanjani hapo kufuatilia Bonanza hilo.
|
![]() |
Mke wa Marehemu Madesho, Shufaa Madesho akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makala ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika Bonanza hilo wakifuatilia mchezo.
|
![]() |
Zawadi zikatolewa kwa mchezaji Cunbert Ngambira wa timu ya Maveterani wa KIA baada ya kushinda mbio za Mita 100 kwa wenye umri wa miaka 30-40.
|
![]() |
Zawadi zikatolewa kwa mshindi wa mbio za Mita 100 Salatory Mtanange wa Moshi veterani kwa wakimbiaji wenye umri kati ya miaka 40 na 50.
|
![]() |
Mshindi wa pili kwa upande wa mpira wa Miguu timu ya Ushirika Veterani ,wakakabidhiwa kikombe,nahodha wa timu hiyo Erick akapokea kwa niaba ya timu.
|
![]() |
Washindi wa pili timu ya Maveterani ya Best Maridadi, wakakabidhiwa kikombe, kikapokelewa na Ismail.
|
![]() |
Washindi wa kwanza kwa upande wa mpira wa miguu timu ya Maveteran wa njia panda ya Ulaya KIA, wakakabidhiwa kikombe na mgeni rasmi, Amosi Makala.
|
![]() |
KIA wakifurahia kikombe chao cha kwanza tangu kuanzishwa kwa timu hiyo.
|
![]() |
Mgeni rasmi katika Bonanza hilo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makala akizungumza mara baada ya kukabidhi zawadi kwa washindi.
|
![]() |
Mke wa Marehemu Madesho akizungumza katika Bonanza hilo.
|
![]() |
Baadhi ya ndugu waliofika katika Bonanza hilo. (Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini - 0755659929).
|
No comments:
Post a Comment