![]() |
Baadhi ya washiriki wa zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro.
|
![]() |
Mkuu wa majeshi Mstaafu, Jenerali George Waitara akizungumza katika hafla hiyo.
|
![]() |
Baadhi ya wapandaji.
|
![]() |
Mhifadhi Mkuu, Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro, (KINAPA) akizungumza wakati wa hafla hiyo.
|
![]() |
Washiriki.
|
![]() |
Ofisa Masoko wa KINAPA, Antypas Mgungusi akieleza jambo wakati wa hafala hiyo.
|
![]() |
Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi ya Utalii,Balozi Charles Sanga ni mingoni mwa washiriki wa zoezi hilo la kupanda mlima Kilimanjaro.
|
![]() |
Mhifadhi mkuu KINAPA,Erastus Lufunguro akiongozana na mgeni rasmi kwa ajili ya kukabidhi bendera kwa wapandaji mlima hao.
|
![]() |
Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi, Fulgence Mponji akikabidhi bendera kwa Mkuu wa majeshi mstaafu, Jenerali George Waitara ambaye ndiye kiongozi wa msafara huo.
|
![]() |
Washiriki wakijiandaa kuanza safari.
|
![]() |
Safari ya kuelekea kilele cha Mlima Kilimanjaro ikaanza kwa maafisa 24 wa JWTZ. (Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kada ya Kaskazini -0755659929).
|
No comments:
Post a Comment