![]() |
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) Pius Msekwa akitunuku Shahada, Stashahada na Astashahada kwa wahitimu wa Chuo hicho wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo hicho.
|
![]() |
Wahitimu wa kozi mbalimbali waliohitimu katika Chuo Kikuu cha Ushirika mjini Moshi (MoCU).
|
![]() |
Miongoni mwa wageni waalikwa alikuwepo pia Mbunge wa jimbo la Moshi mjini, Jafary Michael.
|
![]() |
Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika (MoCU) Profesa Faustine Bee akizungumza wakati wa sherehe za mahafali ya kwanza ya Chuo hicho yaliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Chuo hicho.
|
![]() |
Miongoni mwa wahitimu walikuwepo pia Mbunge wa viti maalum, Sharry Raymond pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Shaibu Ndemanga.
|
![]() |
Baadhi ya wakufunzi katika chuo hicho.
|
![]() |
Muongozaji wa sherehe ya mahafali hayo Cyril Komba akitoa muongozo wa shughuli hiyo iliyofanyika viwanja ya Chuo kikuu cha Ushirika Moshi.
|
![]() |
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika, Pius Msekwa akitoka katika viwanja vya Ushirika mara baada ya kumalizika kwa sherehe ya mahafali ya kwanza ya chuo hicho.
|
![]() |
Baadhi ya wakufunzi wa Chuo hicho, Profesa Wakuru Magigi (kulia), wakiwa na Mkuu wa Shule ya Polisi zamani Chuo cha Polisi Moshi, Matanga Mbushi.
|
No comments:
Post a Comment