Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, TB Joshua (wapili kulia), akizungumza jambo na Mh. Edward Lowassa pamoja na viongozi wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Mh. Freeman Mbowe (watatu kulia), Mh. James Mbatia (kulia) na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto), walipokutana naye Masaki jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Othman Michuzi)
Mh. Edward Lowassa akimkaribisha mgeni wake, Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, TB Joshua, wakati alipomtembelea kwa mara nyingine nyumbani kwake, Masaki Jijini Dar es Salaam leo Novemba 4, 2015.

No comments:
Post a Comment