Mashabiki na wananchi wa Tanzania wakishangilia timu yao katika mchezo huo.
Wachezaji wa timu ya Algeria wakipasha moto misuli kabla ya kupambana na timu ya Taifa Stars, Uwanjani hapo jana.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akimpita Mesloub Wald wa Ageria.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akijaribu kumzuia Ghoulam Faouzi wa Ageria.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akiuzuia mpira katika kumhadaa Medjani Carl wa Ageria.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akitafuta mbinu ya kumtoka Ghoulam Faouzi wa Ageria.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akiwania kuwatoka Ghoulam Faouzi (3) na Mesloub Wald wa Ageria.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akiwaniampira wa juu na Ghoulam Faouzi wa Ageria.
Elias Maguri wa Stars akimtoka Taider Saphir wa Algeria.
Elias Maguri wa Stars akimhadaa Taider Saphir wa Algeria.
Elias Maguri wa Stars akimtoka Taider Saphir wa Algeria.
Wachezaji wa Taifa Stars wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo, lililofungwa na Elias Maguri dhidi ya timu ya taifa ya Algeria katika mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu kwa makundi kuwania Kombe la Dunia, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana, litakalofanyika nchini Urusi 2018. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana mabao 2-2.

Elias Maguri akishangilia bao lake aliloifungia timu ya Taifa, Taifa Stars dhidi ya timu ya taifa ya Algeria katika mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu kwa makundi kuwania Kombe la Dunia, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana
Ubao wa matangazo ukionesha Tanzania, Taifa Stars bao 1 Algeria 0.
Mashabiki na wananchi wa Tanzania wakishangilia timu yao katika mchezo huo.
Mashabiki wa Stars wakifuatilia mchezo huo.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akiwa na mpira akimfuata Medjani Carl wa Ageria.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akiwa na mpira akimfuata Medjani Carl wa Ageria.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akiwatoka wachezaji wanne wa Ageria.
Wachezaji wa Taifa Stars wakishangilia bao la pili la timu hiyo, lililofungwa na Mbwana Samatta dhidi ya timu ya taifa ya Algeria wakati wa mchezo huo wa kwanza wa kuwania kufuzu kwa makundi kuwania Kombe la Dunia, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.

Ubao wa matangazo ukionesha Tanzania, Taifa Stars bao 2 Algeria 0.
Mashabiki na wananchi wa Tanzania wakishangilia timu yao katika mchezo huo.
Elias Maguri wa Stars akitafuta mbinu ya kumtoka Zeffane Mehdi wa Algeria.
Ubao wa matangazo ukionesha Stars mabao 2 na Ageria 1.
Heka heka kwenye lango la Algeria.
Algeria wakiwa wamesawazisha mabao yote na hivyo ubao wa matangazo kusomeka Stars 2 na Ageria 2.
Shomari Kapombe akiwatoka Medjani Carl (12) na Belkarou Hichem (20) wa Ageria.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akiwatoka wachezaji wanne wa Ageria.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akiwatoka wachezaji wanne wa Ageria.
Thomas Ulimwengu wa Stars, akipiga mpira katikati ya wachezaji wanne wa Ageria.
No comments:
Post a Comment