TANGAZO


Monday, November 2, 2015

Shindano kubwa la kusaka vipaji vya kuchezea mpira 'Freestyle Football Championship' kuanza hivi karibuni

IMG_20151022_190217
Tanzania Freestyle football championship (TFFC2016) ambalo ni shindano la kutafuta/kusaka vipaji vya kuchezea mpira yaani freestyle soccer/Freestyle Football wengi hupenda kuita hivyo ambalo linatarajiwa kuendeshwa kama vile mashindano mengine ya kutafuta vipaji kwa njia mbalimbali ikiwemo ile ya TV show.
Waweza wasiliana nao kupitia anuani hapa +255 654 955 825/ +255 655 049 647
IMG_20151010_014924
IMG_20151010_022504

No comments:

Post a Comment