TANGAZO


Friday, November 6, 2015

Rufaa ya Mourinho yatupiliwa mbali

Image copyrightGetty
Image captionJose Mourinho
Shirikisho la soka la Uingereza limeitupilia mbali rufaa ya Mourinho aliyoikata kupinga kufungiwa kuingia uwanjani Jumamosi na kulipa faini ya £50,000.
Alipewa adhabu hiyo baada ya kusema kuwa marefa walikuwa wanaogopa kuipa Chelsea penalti ndiyo maana akafungwa na Southampton.
Kwa hivyo ataikosa mechi yao ya kesho dhidi ya Stock City, labda utokee muujiza adhabu yake ilegezwe.

No comments:

Post a Comment