TANGAZO


Friday, November 6, 2015

Rais Magufuli akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Ramtane Lamamra

Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwakaribisha wageni wake, Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Mhe. Ramantane Lamamra (katikati), Ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Freddy Maro)
Rais Dk. John Pombe Magufuli akipokea ujumbe kutoka kwa mgeni wake, Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Mhe. Ramantane Lamamra, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dk. John Pombe Magufuli akipiga picha na mgeni wake, Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Mhe. Ramantane Lamamra, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dk. John Pombe Magufuli akimkaribisha kwa maongezi mgeni wake, Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Mhe. Ramantane Lamamra, Ikulu jijini Dar es Salaam leo. 
Rais Dk. John Pombe Magufuli akipiga picha ya pamoja na mgeni wake, Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Mhe. Ramantane Lamamra pamoja na ujumbe wake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo. 
Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na mgeni wake, Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Mhe. Ramantane Lamamra, Ikulu jijini Dar es Salaam leo. 
Rais Dk. John Pombe Magufuli akimuaga mgeni wake, Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Mhe. Ramantane Lamamra, baada ya kufanya mazungumza naye, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment