Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akimwapisha Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Lindi, Bwana Ramadhani Kaswa Ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Freddy Maro)
Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Lindi Bwana Ramadhani Kaswa akila kiapo mbele ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akimpongeza Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Lindi Bwana Ramadhani Kaswa, mara baada ya kwapisha Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

No comments:
Post a Comment