Mtangaza nia wa Uspika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samweli Sita akiongea na baadhi ya waheshimiwa wabunge kwenye Viwanja vya Bunge wakati wa maandalizi
ya Kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni. (Picha zote na Benjamin Sawe-Malezo)
No comments:
Post a Comment