TANGAZO


Sunday, November 8, 2015

LIVE: Aston Villa 0-0 Man City


Image captionKevin De Bruyne

Free kick kuelekea lango la (Aston Villa)
Micah Richards

Image captionKipa mchanga lakini machachari

00:05 Aston Villa 0-0 Man City
Offside, Manchester City.

Image captionManchester City ndio wanaongoza jedwali la ligi kuu ya Uingereza

Bacary Sagna anapiga cross lakini Kevin De Bruyne anaotea !
00:03 Aston Villa 0-0 Man City
Alan Hutton anapiga 'cross' lakini Joe Hart anauzima
00:00 Aston Villa 0-0 Man City

Image copyrightGetty
Image captionAston Villa 0-0 Man City

Aston Villa 0-0 Man City

Image captionTimu ya Aston Villa

Mechi imeanza
Timu inayoongoza katika jedwali la ligi kuu ya Uingereza Manchester City inachuana dhidi ya Aston Villa Inayoshikilia nafasi ya 20 katika msimamo wa ligi hiyo ya EPL.

Image captionAston Villa ndio wanaoshikilia nafasi ya mwisho katika jedwali la ligi kuu ya Uingereza

Timu iliyotolewa na kocha Roberto Mancini inatofauti moja tu kutoka kwa ile ile iliyoilaza Sevilla katika mechi ya kuwania ubingwa wa Ulaya .
Kevin De Bruyne anarejea uwanjani na kuchukua pahala pake Jesus Navas.
Manchester City

Image copyrightGetty
Image captionSterling

01 Hart 03 Sagna 04 Kompany 30 Otamendi 11 Kolarov 25 Fernandinho 06 Fernando 17 De Bruyne 42 Y Touré 07 Sterling 14 Bony
Wachezaji wa Akiba
13 Caballero 15 Jesús Navas 18 Delph 20 Mangala 22 Clichy 26 Demichelis 72 Iheanacho
Aston Villa

Image captionTimu ya Man City

01 Guzan 21 Hutton 04 Richards 06 Clark 23 Amavi 17 Veretout 24 Sánchez 08 Gueye 25 Gil 19 J Ayew 09 Sinclair
Wachezaji wa Akiba
07 Bacuna 16 Lescott 18 Richardson 28 N'Zogbia 31 Bunn 39 Gestede 40 Grealish

No comments:

Post a Comment