TANGAZO

Friday, November 6, 2015

Hafla ya Mchapalo (Cocktail Party) wa kusherehekea kuapishwa kwa Rais Dk.John Pombe Magufuli

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi usiku kwa ajili ya mchapalo maalum ulioandaliwa na Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli kusherehekea kupishwa kwake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. 
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Sheim.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan kifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Hadija Mwinyi akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Sitti Mwinyi akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Salma Kikwete  akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Asha Suleiman Iddi akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine wakiwa hema kuu.
Mama Janet Magufuli akisalimiana na Mhe Makongoro Nyerere.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akisalimiana na Mhe Makongoro Nyerere.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makongoro Nyerere.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akienda kusalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni wake.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mtera Mteule Mhe Livingstone Lusinde.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea  kusalimiana na wageni wake.
Mama Janet Magufuli akiwa na wageni wao.

Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na kutaniana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana kutniana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mhe Augostino Lyatonga Mrema wakati akiendelea kusalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake. Hapa akiongea na Mbunge wa Morogoro vijijini mteule Mhe Propser Mbena.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake. 
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake. Hapa akiteta jambo na kijana George Mathias Mgina.
Rais Dkt Magufuli akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Mizengo Pinda na Mzee Joseph Butiku.
Mama Janet Magufuli akiamkia na na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Mizengo pinda wakiwa Rais Dkt Magufuli na Mzee Joseph Butiku.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janet Magufuli wakiwa na kijana George Mathias Mgina.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Tunu Pinda akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Mizengo pinda na wanafamilia.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na wake wa viongozi na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Mizengo Pinda.
Mama Janet Magufuli akisalimiana na Mama Hasina Kawawa.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mhe Ole Sendeka.
Balozi wa Tanzania nchiniNigeria Mhe Njoolay akiwa na Mhe Chiligati na Mhe Profesa Jumanne Maghembe.
Wadau wakifurahia mchapalo.
Wadau wakiwa katika mchapalo huo.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe Saidi Mwambungu na Mbunge Mteule wa Nyasa.
Blogger maarufu Haki Ngowi (kushoto) na nduguye ambaye ni mbunifu wa mavazi wa mkimataifa Sheria Ngowi ndani ya nyumnba.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake. Hapa ni rafiki yake na Waziri Mkuu wa Zamani wa Kenya Mhe Raia Odinga na ujumbe wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Salma Kikwete na familia ya Rais Mstaafu.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimianana na Mufti Mkuu wa Tanzania. 
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipozi na viongozi wa BAKWATA.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimaiana na viongozi wa dini.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na msanii Mrisho Mpoto.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni wake.
Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana  na wageni wake.
Yamoto Band ikitumbuiza. Picha zote na IKULU.

No comments:

Post a Comment