Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiteta jambo na Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria (KKKT) Tanzania, Dkt Fredrick Shoo.
|
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akizungumza jambo mara baada ya utamburisho wa mkurugenzi huyo.
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt Gileard Masenga akizungumza jambo mbele ya Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt Reginald Mengi (hayupo pichani).
|
Dkt Mengi akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC.
|
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya ngazi kuu za kuingilia wodini katika hospitali hiyo.
|
Baadhi ya wananchi walioshuhudia tukio hilo.
|
Mwenyekiti mtendaji wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiongozana na Mkurugenzi mtendaji wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC wakipita katika ngazi kuu zilizofanyiwa ukarabati hii karibuni.
|
Dkt Mengi akitizama baadhi ya maeneo katik awodi za hospitali ya rufaa ya KCMC ambayo miundo mbinu ya maji pamona na vyoo imekuwa chakavu.
|
Sehemu ya maeneo ambayo yameathirika na uchakau wa miundo mbinu ya maji.
|
Dkt Mengi akisalimiana na mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hosptali ya Rufaa ya KCMC.
|
Mkurugenzi mtendaji wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga akimuonesha Dkt Mengi maeneo mbali ya hosptali hiyo ambayo upanuzi umeanza kufanyika kama sehemu ya kuboresha huduma ya afya.
|
Dkt Mengi akiaga mara baada ya kutembelea hospitali ya rufaa ya KCMC pamoja na kuzindua ngazi kuu za kuingilia wodini.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
|
No comments:
Post a Comment