Kikosi cha timu ya Majimaji kikipiga picha ya kumbukumbu kabla ya mchezo dhidi ya Simba, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Simba imeshinda mabao 6-1. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Kikosi cha timu ya Simba kikipiga picha ya kumbukumbu kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Majimaji FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Wachezaji wa Simba wakimpongeza Ibrahim Ajib baada ya kuifungia timu hiyo bao la kwanza dhidi ya Majimaji FC ya Songe, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Ubao wa matokeo ukionesha Simba bao 1 na Majimaji FC 0.
Wachezaji Ajib na Kiiza wakisujudi kushangilia bao la pili la timu hiyo, lililofungwa na Ajib tena.
Wachezaji Ajib na Kiiza wakitoka kusujudi huku wakipongezwa na Emery Nimubona (kushoto) na Mwinyi Kazi Moto.
Ubao wa matokeo ukionesha Simba mabao 2 na Majimaji 0.
Hamis Kiiza akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Ally Mohamed wa Majimaji.
Hamis Kiiza akijaribu kumhadaa Sadiq Gawaza wa Majimaji.
Hamis Kiiza akijaribu kumhadaa Sadiq Gawaza wa Majimaji.
Heka heka katika lango la Majimaji.
Emery Nimubona wa Simba akipiga krosi.
Ibrahim Ajib wa Simba akikimbia na mpira huku akifuatwa na Ally Mohamed wa Majimaji.
Sadiq Gawaza wa Majimaji akikokota mpira huku akifuatwa na Ibrahim Ajib wa Simba.
Samir Ruhava wa Majimaji akiruka kuudhibiti mpira huku akiangaliwa na Emery Nimubona wa Simba.
Emery Nimubona wa Simba akimtoka Iddi Kipagwile wa Majimaji.
Ibrahim Ajib wa Simba akimtoka Sadiq Gawaza wa Majimaji.
Ibrahim Ajib wa Simba akimtoka Sadiq Gawaza wa Majimaji.
Ibrahim Ajib wa Simba akimtoka Sadiq Gawaza wa Majimaji.
Hamis Kiiza akishangilia bao la tatu aliloifungia timu yake ya Simba katika mchezo huo.
Ibrahim Ajib na Hamis Kiiza wakishangilia bao la tatu lililofungwa na Kiiza katika mchezo huo.
Ibrahim Ajib na Hamis Kiiza wakishangilia bao la tatu katika mchezo huo.
Wachezaji wa Simba wakishabgilia bao la tatu la timu hiyo.
Ubao wa matokeo ukionesha Simba mabao 3 na Majimaji 0.
Mwinyi Kazi Moto wa Simba na Sadiq Gawaza wa Majimaji wakikimbilia mpira katika mchezo huo.
Ibrahim Ajib akishangilia bao la nne la timu hiyo, likiwa ni bao lake la tatu aliloifungia timu yake hiyo katika mchezo huo na hivyo kufunga hat trick yake katika mchezo huo.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la nne la timu hiyo dhidi ya Majimaji FC.
Kocha Dyllan Kerr akiwapokea wachezaji wake Hamis Kiiza na Ibrahim Ajib baada ya kufungia bao la nne timu ya ya Simba katika mchezo huo.
Ubao wa matokeo ukionesha Simba mabao 4 na Majimaji 0.
Mashabiki na wanachama wa timu ya Simba wakishangilia bao hilo la nne kwa timu yao.
No comments:
Post a Comment