Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa China nchini, Dk. Lu Youqinga (kushoto), wakifunua pazia kuzindua jengo la kumbi za mikutano la Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) jijini Dar es Salaam leo.
Balozi wa Tanzania Afrika ya Kusini Radhia Msuya na Balozi wa Tanzania nchini India Alan Kijazi wakimkabidhi zawadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa niaba ya mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchi za nje wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa Mhe. Rais iliyofanyika katika ukumbi wa jengo la Julius Nyerere International Convention Centre(JNICC) jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi pamoja na wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika ukumbi wa jengo la Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi pamoja na wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika ukumbi wa jengo la Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Freddy Maro)

No comments:
Post a Comment