TANGAZO

Monday, October 12, 2015

Mgombea wa Ukawa Edward Lowassa atikisa jijini Mwanza leo

Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, akihutubia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo, Oktoba 12, 2015. (Picha zote na Othman Michuzi) 
Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia mwamvuli wa Ukawa, Mh. Juma Duni Haji, akiwahutubia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015. 
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia mwamvuli wa Ukawa, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo, Oktoba 12, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia mwamvuli wa Ukawa, Mh. Edward Lowassa akiwaaga wananchi wa Jiji la Mwanza, mara baada ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015. 

Watu wa huduma ya kwanza wa kikosi cha Msalaba Mwekundu, wakiwasaidia wananchi mbali mbali waliopoteza fahamu kutokana na kukosa hewa, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia mwamvuli wa Ukawa, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo, Oktoba 12, 2015.  

Watu wa huduma ya kwanza wa kikosi cha Msalaba Mwekundu, wakiwasaidia wananchi mbali mbali waliopoteza fahamu kutokana na kukosa hewa, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia mwamvuli wa Ukawa, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.  

No comments:

Post a Comment