Pages

Saturday, October 17, 2015

Mgombea Urais wa Ukawa kupitia Chadema Edward Lowassa apokelewa na umati - Sengerema

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadem), Mh. Freeman Mbowe akitoa somo la namna ya kupiga kura kwa wananchi, wakati wa mkutano wa kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Jimbo la Magu, mkoani Simiyu juzi Oktoba 15, 2015.
Sehemu ya Wananchi wa Jimbo la Sengerema Jijini Mwanza wakiwa kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia mwamvuli wa Ukawa, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza juzi Oktoba 15, 2015.
Sehemu ya Wananchi wa Jimbo la Sengerema Jijini Mwanza wakiwa kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia mwamvuli wa Ukawa, Mh.Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza juzi Oktoba 15, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Mh. Edward Lowassa akiwahutubia wananchi wa Sengerema, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza juzi Oktoba 15, 2015.

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia mwamvuli wa Ukawa, Mh. Edward Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sengerema kwa tiketi ya Chadema, Hamis Tabasamu, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza juzi, Oktoba 15, 2015. (Picha zote na Othman Michuzi)

No comments:

Post a Comment