Maelezo ya uraia wa waathiriwa wa mkanyagano uliotokea wakati wa Hajj nje ya Mecca siku ya alhamisi yanaendelea kutolewa.
Hii ndio idadi ya watu waliofariki kutoka barani Afrika kulinga na chombo cha habari cha AFP.
-Morocco: 87 walifariki kulingana na vyombo vya habari nchini humo 3 walifariki huku wengi wengine wakiwa hawajulikani waliko kulingana na serikali.
Misri: 55 walifariki
Nigeria: 54 walifariki
Cameroon: Tariba watu 20 walifariki
Niger: 22 walifariki
Ivory Coast: 14 walifariki , 77 wakiwa hawajulikani waliko
Chad: 11 walifariki
Somalia: 8 walifariki-kulingana na vyombo vya habari
Algeria: 8 walifariki
Senegal: 5 walifariki
Libya: 4 walifariki
Tanzania: 4 walifariki
Kenya: 3 walifariki
Burkina Faso: 1 alifariki
Burundi: 1 alifariki ,hii ni kulingana na muungano wa waislamu.
Tunisia: 1 alifariki
No comments:
Post a Comment