Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akifungua warsha ya uelimishaji juu ya usimamizi uendelezaji wa mji wa Dodoma kwa viongozi wa kata na mitaa wa Manispaa ya Dodoma iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA Ndg. Paskasi Muragili akitoa maelezo ya ufafanuzi juu ya warsha ya uelimishaji juu ya usimamizi uendelezaji wa mji wa Dodoma kwa viongozi wa kata na mitaa wa Manispaa ya Dodoma iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Baadhi ya viongozi wa kata na mitaa wa Manispaa ya Dodoma wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa warsha ya uelimishaji juu ya usimamizi uendelezaji wa mji wa Dodoma kwa viongozi hao wa serikali za mitaa iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Morena Mjini Dodoma.

Picha ya pamoja baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Serikali na Viongozi wa Kata na Mitaa ya Manispaa ya Dodoma muda mfupi baada ya ufunguzi wa warsha ya uelimishaji juu ya usimamizi uendelezaji wa mji wa Dodoma iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Morena.(Picha zote na John Banda)
No comments:
Post a Comment