TANGAZO


Saturday, August 8, 2015

Harambee ya kuchangia fedha kwa ajili ya kupambana na tezi dume yafanyika jijini Dar es Salaam

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid akitoa hotuba yake jana usiku wakati wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanhyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. 
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Grace Magembe – Mugisha akiwakilisha mchango wa Sh. milioni 10,800,000/=ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na halimashauri tatu   kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana usiku.  
Mdau wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanhyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam jana. 
Meneja wa Utafiti kutoka Benki Kuu ya Tanzania Johnson Nyella akiwakilisha mchango wa Sh. milioni 10 ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na halimashauri tatu kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika Hoteli ya Serena jijini Dares Salaam jana usiku. 
Baadhi ya  wadau mbalimbali  wakurafahia wakati wa wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana  na ugonjwa wa tezi dume iliyofanhyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Daudi Nassib  akiwakilisha mchango wa Sh. milioni tano ambazo  ni mchango wa Hospitali za mkoa huo pamoja na Halimashauri tatu  kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jana Dar es Salaam jana usiku. 
Baadhi wa wadau waliokuwa wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana  na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid akitangaza kiwango cha fedha kilichopatikana jana usiku wakati wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana  na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika Hoteli ya Serena jijini Dares Salaam jana. 
Baadhi ya  wadau mbalimbali waliochangia harambee hiyo, wakiwa katika picha ya pamoja wakifurahia wakati wa wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana  na ugonjwa wa tezi dume iliyofanhyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam jana. (Picha zote na Magreth Kinabo- Maelezo) 

No comments:

Post a Comment