Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam waliofika kwenye viwanja vya Kijitonyama kwenye gulio la Vodacom Expo wakionyeshwa baadhi ya simu na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania ambazo zinauzwa kwa bei nafuu zaidi, Gulio hilo limeandaliwa na Vodacom Tanzania kwa siku mbili mfululizo kwa ajili ya kuwauzia wakazi wa jiji.
Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam wakinunua bidhaa mbalimbali za mawasiliano kwa bei nafuu kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama wakati wa Gulio la Vodacom Expo lililofanyika kwa siku mbili mfululizo.

Meneja bidhaa wa Vodacom Tanzania, Liginiku Milinga akifanyiwa mahojiano na baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika Gulio (Vodacom Expo) lililoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kununua bidhaa mbalimbali za mawasiliano kwa bei nafuu na kufanyika kwa siku mbili mfululizo katika viwanja vya Posta kijitonyama jijini.

No comments:
Post a Comment