TANGAZO


Wednesday, July 8, 2015

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Edinburgh wasaidia sekta ya Michezo nchini Tanzania

Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo Bibi. Juliana Yassoda (aliyekaa) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Edinburgh (Edinburgh Global Partnership) walipmotembelea ofisini kwake leo.Wanafunzia wanasaidia ujenzi wa Viwanjwa viwili vya michezo ya Mipira ya Kikapu,Pete na  Wavu vilivyogharimu zaidi ya shilingi milioni 33.Viwanja hivyo vimejengwa katika maeneo ya Vingunguti jijini Dar es Salaam chini ya usimamizi wa asasi isiyo ya Kiserikali ya Msimamo Youth Educator yenye maskani yake Vingunguti, jijini Dar es Salaam. 
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo Bibi. Juliana Yassoda (aliyekaa) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Edinburgh (Edinburgh Global Partnership) walipmotembelea ofisini kwake leo.Wanafunzia wanasaidia ujenzi wa Viwanjwa viwili vya michezo ya Mipira ya Kikapu,Pete na  Wavu vilivyogharimu zaidi ya shilingi milioni 33.Viwanja hivyo vimejengwa katika maeneo ya Vingunguti jijini Dar es Salaam chini ya usimamizi wa asasi isiyo ya Kiserikali ya Msimamo Youth Educator yenye maskani yake Vingunguti, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Frank Shija, WHVUM)

No comments:

Post a Comment