TANGAZO


Friday, July 3, 2015

NEC yakutana na Vyama vya Siasa kujadili maadili ya uchaguzi

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva akiwahutubia wajumbe  wa mkutano wa tume hiyo na viongozi wa vyama vya siasa kujadili maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) , Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid (kulia), akiteta jambo na Kamishna wa Tume hiyo Jaji Mstaafu John Mkwawa. 
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Julius Malaba, akiwasomea maadili ya uchaguzi wajumbe wa mkutano huo katika mkutano huo.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliohudhuria mkutano wa NEC kuhusu maadili ya uchaguzi mkuu
Baadhi ya washiriki kutoka Vyama mbalimbali vya Siasa wakitoa michango yao kwenye mkutano huo.


 Phillip Mangula wa CCM.
Willbroad Slaa wa Chadema. 
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo kutoka idara na taasisi za Serikali wakipitia vifungu vya maadili ya uchaguzi wa mwaka 2015.
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Damian Lubuva akifafanua jambo. Kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid na kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Tume Jaji Mstaafu, Julius Malaba na Kamishna wa tume hiyo Mchanga Mjaka.
Mwakilishi wa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) ambaye ni Kamishina wa Polisi  jamii, CP   Mussa Alli Mussa  akifafanua moja ya kifungu cha maadili ya uchaguzi.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wakijadili jambo kwenye mkutano huo.


Baadhi ya wawakilishi wa idara na taasisi za Serikali wakipitia maadili ya uchaguzi. (Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO)

No comments:

Post a Comment