TANGAZO


Sunday, July 19, 2015

Mtemvu apokea msaada wa vyakula, nguo uliotolewa na Kampuni ya Goodone kwa ajili ya Kituo cha Yatima cha Alqam Tandika Dar es Salaam

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Good One, Wu Ya Hui (kushoto), akimkabidhi msaada wa vyakula na nguo, sabuni na vyombo Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu vilivyotolewa kwa Kituo cha Kulelea Yatima cha Darul Arqam cha Tandika, Dar es Salaam jana. Msaada huo uliombwa na mbunge huyo kwa kushirikiana na aliyewahi kuwa Makamu wa Rfais wa TFF, Athuman Nyamlani. (Picha zote na Richard Mwaikenda; Kamanda wa Matukio Blog)
Mtemvu akipokea sabuni kwa ajili ya kituo hicho.
Mtemvu akipoea  balo la nguo za mitumba.
Mtemvu akizungumza mkatika  hafla hiyo ambapo aliipongeza kampuni hiyo ya Goodone kwa kuwa na moyo wa kutoa msaada huo.


Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Goodone watoto wanaolelewa kituoni hapo pamoja na uongozi wa kituo hicho.
Wakiomba dua.
Baadhi ya watoto yatima wanaolelewa kituoni hapo.
Msaada uliotolewa kituoni hapo.

No comments:

Post a Comment