TANGAZO


Monday, July 20, 2015

Maofisa wa JWTZ watembelea Kiwanda cha TBL Dar es Salaam

Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam
Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi akisalimiana na Mkufunzi wa Kozi ya Eme, Kapteni Erasto Kalinga.
Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam.
Meneja wa Afya na Usalama mahali pa kazi wa TBL, Renatus Nyanda akitoa maelezo kwa maofisa hao jinsi ya kuzingatia usalama watakapotembelea kiwanda hicho.
Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam.
Maofisa hao wakipata maelezo kuhusu upishi wa bia kiwandani hapo.
Mtaalamu wa Ubora wa Bia wa TBL, Lydia Soi akitoa maelezo kuhusu jinsi wanavyozingatia ubora wa bia zinazotengenezwa kiwandani hapo.
Maofisa wakipata maelezo jinsi bia inavyochachuliwa.
Maofisa wakitembelea kitengo cha ufungashaji wa bia.

Mpishi Mwandamizi wa Bia wa Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL) Dar es Salaam, Elikana Ngosha akiwapatia maelezo Maofisa wa Jeshi walio kwenye mafunzo waliotembelea kiwanda hicho.
Maofisa wakiangalia mitambo kiwandani.
Maofisa wa JWTZ na TBL wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment