TANGAZO


Saturday, July 4, 2015

Katibu Mkuu Kiongozi atembelea mabanda kwenye maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipewa maelezo na maafisa wa Shirika la Bima la Taifa alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa leo jijini Dar es Salaam. 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea Wheel cover kutoka kwa Afisa wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa leo jijini Dar es Salaam. 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipata maelezo ya namna mtambo maalum wa kukata nyasi unavyofanya kazi, Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya maendeleo ya Biashara Tanzania Bi. Jackline Maleko. 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisaini Kitabu cha wageni alipotembelea moja ya banda kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa leo jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Hassan Silayo-Maelezo)

No comments:

Post a Comment