TANGAZO

Friday, July 10, 2015

Kamati Kuu ya CCM yakutana Mjini Dodoma leo kuteua majina 5 ya watakaochuana kuwania nafasi moja ya kukiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu

Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM-CC), wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano kwa ajili ya kuteua majina 5 ya watakaochuana kuwania nafasi moja ya kukiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, kutoka kushoto, Rais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, Spika mstaafu Pius Msekwa na Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya, wakiwa katika mkutano huo, mjini Dodoma leo.
 Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo leo.
Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri, Anne makinda katika kikao hicho. 
Msemaji wa Chama, Nape Nnauye, Zakhia Megji na Seif Khatibu.
Marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, wakiwa na Spika mstaafu Pius Msekwa.
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi, akiwasalimia Marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa.
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi, akifurahia jambo na Marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa.
Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, akiwasalimia Marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa. Kulia ni Spika mstaafu Pius Msekwa
Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, akizungumza jambo na Marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa. Kulia ni Spika mstaafu Pius Msekwa.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, kutoka kushoto, Rais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, wakiwa na Spika mstaafu Pius Msekwa, Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, Waziri Mkuu wastaafu Cleopa David Msuya na Salim Ahmed Salim, wakiwa katika mkutano huo, mjini Dodoma leo. 

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, wakati wa mkutano huo, mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mwenyekiti, Rais Jakaya Kikwete na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula.

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akikifungua kikao hicho, mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akikifungua kikao hicho, mjini Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha zote na John Banda)

No comments:

Post a Comment