Mpambanaji aliyejitambulisha kwa mwandishi wa blog hii kwa jina la Liberatus Oba Mawalla "Dogo" (pichani juu) amechukua na kurudisha fomu za kugombea udiwani kata ya Korongoni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amesema endapo atapata ridhaa hatapenda wamuite mheshimiwa na badala yake anataka wapiga kura wake wamuite ndugu. Angalia picha zaidi hapa chini.
Msafara huo kurudisha fomu.
Ni alama ya vidole viwili chadema .
Ni furaha tu kwa kwenda mbele.
Dogo ndani ya mchuma akienda kurudisha fomu.
Ni kama wanasema ushindi ni lazima.
Msafara huo wa kwenda kurudisha fomu.
Dogo akipongezwa na vijana wenzake.
No comments:
Post a Comment