Baraza kuu la usalama la Umoja wa mataifa, linajiandaa kufanya mkutano kuhusiana na mzozo unaondelea nchini Burundi.
Mkutano huo unafanyika siku chache tu baada ya Rais Pierre Nkurunziza, kushinda muhula wa tatu wa uchaguzi wa urais kwa njia ya utata.
Mchunguzi mmoja wa Umoja wa mataifa, amesema kuwa, uchaguzi huo mkuu wa urais uliofanyika juma lililopita nchini Burundi sio wa haki, huru na usiokubalika.
No comments:
Post a Comment