Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu hiyo dhidi ya Club Spotrs Villa ya Uganda katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka suluhu.
Mchezaji Geofrey Mwashuya wa Yanga, akiudhibiti mpira huku akizongwa na Hamis Katende wa Club Sports Villa ya Uganda wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.

Amisi Tambwe wa Yanga (kulia), akimpiga chenga Robert Ayema wa Club Spotrs Villa ya Uganda katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mchezaji Geofrey Mwashuya wa Yanga, akiumiliki mpira huku akizongwa na Hamis Katende wa Club Sports Villa ya Uganda wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.

Mchezaji Geofrey Mwashuya wa Yanga, akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Hamis Katende wa Club Sports Villa ya Uganda wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment